MCHUNGAJI AWALISHA WAUMINI NYOKA!!! TAZAMA PICHA

13:18 Unknown 0 Comments

Huwezi amini imetokea duniani, Mchungaji mmoja nchini Afrika ya Kusini,Penuel Mnguni, 24,wa End Time Disciples Ministries Church, Soshanguve, Kaskazini mwa Pretoria. chanzo African news mchungaji huyo amewaambia waumini wake kula nyoka aliye hai kama wanataka kuonyesha iman yao kwa mungu wao!!! TAZAMA PICHA.



0 maoni: