MCHUNGAJI AWALISHA WAUMINI NYOKA!!! TAZAMA PICHA

13:18 Unknown 0 Comments

Huwezi amini imetokea duniani, Mchungaji mmoja nchini Afrika ya Kusini,Penuel Mnguni, 24,wa End Time Disciples Ministries Church, Soshanguve, Kaskazini mwa Pretoria. chanzo African news mchungaji huyo amewaambia waumini wake kula nyoka aliye hai kama wanataka kuonyesha iman yao kwa mungu wao!!! TAZAMA PICHA.



0 maoni:

DIAMOND PLUTNUMZ AFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA TUZO ZA MTVMAMA2015 AFRICA KUSINI AKIWA NA Mr FLAVOR PAMOJA NA TEAM WASAFI

12:20 Unknown 0 Comments

 Umaridadi wa hali ya juu wamfanya diamond afike alipo sasaTanzania ina kila sababu ya kujivunia huyu msanii (TAZAMA PICHA)
















0 maoni: